434963516622926

Monday, June 30, 2014

KAMA NAOMI CAMPBEL NI HERIETH PAUL MTANZANIA ANAYETESA MAJUU KATIKA MITINDO KISHAPAMBA MAJARIDA MBALI MBALI MAKUBWA DUNIANI

Herieth Paul
Amekuwa akifananishwa na mwanamitindo naomi campbel pia huenda ndilo jambo lililowavutia watu wengi wa masuala ya mitindo kufanya kai naye alihamia Canada akiwa na miaka kumi na nne amezaliwa dar esalaam mama yake ni mfanyakazi ubalozi wa canada angalia picha zake zaidi,amefanya kazi na majarida makubwa kama New York,jarida maarufu la italia Vogue,kafanya kazi na kampuni kubwa za kuheshimika katika mitindo duniani..


 

Sunday, March 16, 2014

BARUA:WAKATI MWINGINE NDIVYO SIVYO


MAPYA NDEGE MALAYASIA:TAARIFA MPYA POLISI WACHUNGUZA MAKAZI YA MARUBANI ,RUBANI CHIPUKIZI MATATANI,HUENDA IMETEKWA


Marubani wa ndege iliyopotea MH370 ZAHARIE AHMAD SHAH KUSHOTO NA FARIQ ABDUL HAMID
 


Officers are said to have spent two hours searching the pilot's home today inside the luxury compound 
Utafiti unaohusisha nchi takribani 14 bado haujafanikiwa sasa askari wa malayasia wameamua kwenda mbali  zaidi kuangalia kiundani maisha ya Marubani walioendesha ndege hiyo  Zaharie Ahmad Shah, 53, na Rubani Msaidizi Fariq Abdul Hamid, 27.Hatua hiyo imekuja baada ya Uchunguzi kubaini ndege hiyo ilibadilishwa mwelekeo baada ya masaa saba baadaye baada ya kifaa cha mawasiliano na Satelite cha ndege hiyo kuzimwa.
 


Shah's property would have looked similar to this one and is set in an estate which is said to be popular with high-income earners

NASA shirika la Anga la marekani limejiunga katika utafiti huoili kusaidia utambuzi wa taarifa zilizokusanywa katika harakati za kuisaka ndege hiyo.


Hata hivyo Mamlaka za usalama za Malayasia zinachuunguza wahudumu kumi wa ndege hiyo katika makazi yao na Abiria 227..

Hata hivyo Taarifa za Awali zinasema sare nne za Askari zimekamatwa kwa  Rubani Msaidizi Fariq Abdul Hamid, 27.

taarifa zinaeleza zaidi kuwa kabla askari hawajafika ene hilo ndugu wawili wa nahodha msaidizi walifika nyumbani kwake na gari dogo na kuchukua mifuko miwili ya blue na kuondoka na baba Yao mzazi.
Endapo ndege hiyo kama imeelekezwa Bahari ya hindi ni ngumu kujua itakuwa wapi kwani kuna visiwa vingi sana visivyokaliwa na umabli wa maji wa bahari hiyo ni futi 23,000 ilihali uwezo wa Boeing 777-200ER ni maili 7,725 ama 14,305 km japo haijawa wazi ndege hiyo ilikuwa na mafuta kiasi gani japo pia inaweza kufika ilipokusudiwa Beijing, ambao ni mwendo wa saa 5 na dk 50 na mafuta ya ziada.

Wataalamu wameeleza kuwa aliyezima mawasiliano ya ndege ni mtaalamu wa hali ya juu na anaujua vyema mfumo wa usafiri wa Anga Nyumba ya nahodha msaidizi imewavutia polisi kuchunguza ikionekana kama alitumia muda mrefu kujifunza namna ya kusafiri angani pasipo kuonekana na nyenzo yeyote ya usafiri Anga za mbali.Compound: A view of the entrance to Capt. Zaharie Ahmad Shah's residence. Police have been stationed outside for the last week
Geti la kuingia nyumbani kwa nahodha msaidizi
Luxury: Shah is said to live at the property with his wife Faisa
 
Chanzo:Taarifa kutoka vyanzo mbali mbali vya kimataifa

Friday, March 14, 2014

PICHA KESI YA MWANARIADHA AFRIKA YA KUSINI :ANGALIA PICHA ZILIZOPIGWA DAKIKA 40 BAADA YA OSCAR PISTORIAS KUMUUA MPENZI WAKE

Picha hizi ambazo zimeonyeshwa mahakamani ni dhahiri zilikuwa ni dk 40 baada ya polisi kuwasili kwenye tukio..
Zinamuonesha mtuhumiwa akiwa amelowa damu...angalia picha za tukio lenyewe...

Thursday, March 13, 2014

AJALI YA NDEGE MALAYASIA:MELI 40 NA NDEGE 43 ZINAITAFUTA

Taarifa kutoka Mamlaka ya Anga malayasia imetoa taarifa hiyo ya utafiti inayofanyika bahari ya china Kusini.

Hata hivyo imekanususha taarifa taarifa ya marekani iliyosema kuwa ndege hiyo ilitoa taarifa kwa kituo cha anga malayasia kwa masaa manne.

Taarifa ingine ya picha ya satelite ya china iliyotoka kwa bahati mbaya imekanushwa na ubalozi wa china Malayasia.

Tuesday, March 11, 2014

KUPOTEA NDEGE MALAYASIA:NDUGU WADAI SIMU YA NDUGU YAO INAITA ILA HAIPOKELEWINdugu wadai simu inaita na wakituma ujumbe mfupi wa  huduma ya Mesenger inayojulikana kwa jina la QQ unapokelewa ila hauna majibu,hii ni taarifa Iliyotolewa ya badhi ya ndugu wa moja ya watu waliopotea katika tukio la kihistoria kuwahi kutokea ulimwenguni.

Ndege hiyo ambayo imepotea ijumaa leo inasemekana mpaka sasa haijaonekana katika mifumo ya mawasiliano , mpaka sasa china,watengenezaji wa ndege za boing vietnam na Malayasia wameungana kutafuta ndege hiyo,ambayo inadhaniwa kupotea umbali wa zaidi ya kilomita 100

MALAYASIA KUPOTEA KWA NDEGE:PICHA MBILI ZA WASAFIRI WENYE PASPOTI FEKI ZATOLEWA HADHARANIAskari wa malayasia wametoa picha za majaama wawili waliopanda ndege kwa pasipoti feki hata hivyo miongoni mwa watu haommoja wao ni muirani aliyefahamika kwa jina la Pouria Nur Mohammad Mehrdad, anayetafuta hifadhi ya kimataifa aliyekuwa anaelekea Ujerumani na mwingine ambaye jina lake halikujulikana na polisi bado wako katika uchunguzi...hata hivyo hakuna taarifa iliyothibitishwa kuwa huenda ndege hiyo imekubwa na shambulio la kigaidi.

NOTI YA SH 500 INAMUONYESHA EDWARD LOWASA YAMKERA

Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amekerwa na tabia ya baadhi ya watu wanaosambaza uzushi katika mitandao ya kijamii kwa kutumia jina lake.
Lowassa alisema kuna watu wanaoendeleza kusambasa picha ya noti ya Sh500 yenye picha yake huku wakiongeza maneno mabaya juu yake.

Katika taarifa iliyotolewa na ofisi yake, Lowassa alisema, “Kitendo hicho siyo utani, bali ni dhihaka na dharau kwa alama za Taifa na mamlaka ya nchi.”

“Hizi ni alama za Taifa ambazo zinatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na watu wote, si busara kwa hao wanaozichezea kuendelea kufanya hivyo, kwani ni dharau kubwa kwa Taifa’ alisema.

Katika noti hiyo ya Sh500 inaonekana upande wa kulia wa noti hiyo picha ya Edward Lowassa, huku ikikaribiana na ngao ya Taifa huku ikionyesha kuwa ilitolewa na Benki Kuu ya Tanzania..

Alisema anaheshimu maoni ya watu na nguvu ya mitandao ya kijamii, lakini anasisitiza umuhimu kwa wananchi hao kutumia nguvu hiyo ya mitandao kwa kujadili maendeleo ya nchi badala ya kuzusha mambo yasiyo na tija. Kwa nyakati tofauti, picha hiyo imekuwa ikisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwamo ya Facebook, Instagram, Whatsapp, na Twitter huku kukiwa na maneno kama “timu Lowassa” na mengineyo.

Ikumbukwe kuwa Lowassa yupo katika adhabu ya kutoshiriki katika masuala yoyote yahusianayo na kampeni za chinichini za urais, baada ya kamati ya maadili ya CCM)kutoa hukumu yake mwezi uliopita.

Adhabu hiyo pia iliwakumba wengine watano wakiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja.

Moja ya sababu ya adhabu hiyo ya miezi 12 ilikuwa ni kuanzisha kampeni za chinichini za kugombea urais mwaka ujao nje ya muda uliopangwa, ambapo baadhi ya wanachama akiwamo Lowassa walituhumiwa kuhusika kuandaa makundi na fulana za kujinadi.

CHANZO MWANANCHI

Monday, March 3, 2014

PICHA:Lupita Nyong'o Ameshinda Tunzo 24 Kwa filamu Moja

lupita nyongo


lupita nyongo 

lupita nyongo 

lupita nyongo


lupita nyongo


Mwaka Tunzo Kipengele Film Matokea
2013 African-American Film Critics Association Best Breakout Performance 12 Years a Slave Won
2013 Alliance of Women Film Journalists Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Austin Film Critics Association Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 BAFTA Awards Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Nominated
2013 Boston Online Film Critics Association Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Boston Society of Film Critics Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Nominated
2013 Broadcast Film Critics Association Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Central Ohio Film Critics Association Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Nominated
2013 Chicago Film Critics Association Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Critics' Choice Movie Awards Best Supporting Actress 12 Years a Slave Won
2013 Dallas–Fort Worth Film Critics Association Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Florida Film Critics Circle Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Georgia Film Critics Association Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Golden Globe Awards Best Supporting Actress – Motion Picture 12 Years a Slave Nominated
2013 Hamptons International Film Festival Breakthrough Performer 12 Years a Slave Won
2013 Hollywood Film Festival New Hollywood Award 12 Years a Slave Won
2013 Houston Film Critics Society Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Iowa Film Critics Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Kansas City Film Critics Circle Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Las Vegas Film Critics Society Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Los Angeles Film Critics Association Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 National Society of Film Critics Awards Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Nominated
2013 New York Film Critics Circle Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Nominated
2013 Online Film Critics Society Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Palm Springs International Film Festival Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Phoenix Film Critics Society Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Screen Actors Guild Awards Outstanding Performance by a Female Actor in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Screen Actors Guild Awards Outstanding Performance by a Cast in a Motion Picture 12 Years a Slave Nominated
2013 St. Louis Gateway Film Critics Association Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2013 Toronto Film Critics Association Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Nominated
2013 Washington DC Area Film Critics Association Best Actress in a Supporting Role 12 Years a Slave Won
2014 Academy Awards Best Actress in Supporting Role 12 Years a Slave Won

Msemo WA leo

UBONGO BILA AKILI NI SAWA NA CHUPA YA CHAI TUPU

Video:Salu B Nikimweleza

Friday, February 28, 2014

January Makamba na Sugu washiriki kwenye wimbo wa hip hop wa kusisitiza sanaa kutambulika kwenye katiba mpya.

PICHA :NI Lupita Nyong'o AKWAA TUNZO NYINGINE YA HESHIMA HOLLYWOOD

Usiku wa kuamkia leo , Lupita amepewa tuzo ya heshima na mafanikio kwa mwanamke mweusi  huko hollywood marekani ,zikiwa ni tuzo za awamu ya saba kwa wanawake weusi HOLLYWOOD wakati wa uzinduzi wa gazeti la mtandaoni Essence..
LUPITA AKIWASILI KATIKA TUNZO HIZO

LUPITA AKISHUKURU BAADA YA KUPOKEA TUNZO
PICHA:WAGOMBEA 27 WAREJESHA FOMU UCHAGUZI TASWA

HASSAN BUMBULI NAFASI YA UJUMBE
MASAU KULIGA BWIRE NAFASI YA UJUMBE

MAULID KITENGE MGOMBEA MAKAMU MWENYEKITI

MWANI OMARY NYANGASSA


CHACHA MAGINGA NAFASI YA UJUMBE
Waliorejesha fomu ni za kuwania nafasi katika Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utakaofanyika Machi 2, 2014 jijini Dar es Salaam.Waliorejesha kwa nafasi ya ujumbe ni Arone Benedict Mpanduka, Elizabeth Rashid Mayemba, Emmanuel Augustino Muga, Hassan Maulid Bumbuli, Ibrahim Mkomwa Bakari, Masau Kuliga Bwire, Mbozi Ernest Katala, Mroki Timothy Mroki, Mussa Juma, Mwani Omary Nyangassa, Rehure Richard Nyaulawa, Salum Amiri Jaba, Tullo Stephen Chambo na Urick Chacha Maginga.Mhazini Msaidizi ni Elius John Kambili, Zena Suleiman Chande wakati Mhazini Mkuu ni Shija Richard Shija na Mohamed Salim Mkangara.Katibu Msaidizi ni Alfred Lucas Mapunda, Grace Aloyce Hoka na Ptarick Raymond Nyembera. Katibu Mkuu ni Amir Ally Mhando pekee.Waombaji nafasi ya Makamu Mwenyekiti ni Egbert Emmanuel Mkoko, Maulid Baraka Kitenge na Mohamed Omary Masenga. Waliojitosa kwenye nafasi ya Mwenyekiti ni George John Ishabairu, Juma Abbas Pinto.Ni Shaffih Kajuna Dauda pekee ambaye hakurejesha fomu. Dauda alichukua fomu ya kuwania uenyekit